Dekula Kahanga ambae ni mkongwe wa muziki huu wa dance ambae kwa sasa makazi yake ni makubwa ni Nchini Swedeni kwasasa amesema mpaka leo hii ananyimbo sita ambazo zipo tayari na bado anaendelea kurekodi nyimbo nyingine ambazo zitakamilisha album yake ambayo inatarajia kuwa na nyimbo kumi .
Dekula ambae ni mmiliki wa band ya DEKULA BAND ambapo makazi yake ni stockhom, mwimbaji,mtunzi,na mpiga gitaa amesema mpaka sasa nyimbo ambzo zipo tayari ni pamoja na mshog remix,ammy,amani,dunia kuna mambo,bombalaka na ngoma ya kilo na dkeula amesema mpaka sasa bado hajaanza kuruhu nyimbo zake kupigwa kwenye media yeyote mpaka atakapo kamilisha album yake
CHEZA NA AFRICA MOTO
No comments:
Post a Comment