Baada ya kupiga shoo matata mkoani dodoma vijana wa masauti akudo impact walielekea mwanaza jana walipiga shoo nyingine geita leo 22 06 2013 wanapiga Mwanza jokes live pub Pasians ambapo watasindikizwa na wanamuziki wa kizazi kipya ambao watamili jukwaa vizuri kabisa atakuwepo Hussein Machozi na Baba Levo kwa kiingilio cha shiling elfukumi tu
Baada ya shoo hiyo watapiga Kahama 23 06 2013 masabo picnic Center kwa kiingilio cha tsh 10000 wakiwa na baba Levo na Hussein Machozi,tarehe 24 06 2013 watakuwa Shinyanga kakola sambamba na wanamuziki wao tarehe 26 06 2013 watakuwa Tabora FrankMan Palace kwa kiingilio cha sh 15,000 huku wakisindikizwa na mwanamama mwimbaji wa taarabu ambae pia ni dada yake mzee Yusuph Khadija Yusuph,Baba Levo na Hussein Machozi tarehe 27 06 2013 watakuwa Kaliua Millenium Hall kwa kiingilio cha sh 5,000 tarehe 29 06 2013 watapiga Kigoma Kibo Peak Hall kwa ts 10000 bila kumsahau khadija yusuph shuhuadia shoo matatakutoka kwa vijana wa masauti
No comments:
Post a Comment