Charles Baba ameamua kuoa na kuachana na mambo ya ukapela kwa sasa amepata kifaa kipya zaidi ambacho ndicho chaguo lake katika maisha yake yote ameamua kufunga nae pingu za maisha ,Chrles Baba amesema huyu ndie chaguo langu ambae nimeamua kula nae kiapo kanisani kwani ni jambo la kumshukuru mungu
![]() |
CHARLES BABA NA REHEMA SOSPETER |
Charles Gabriel Cyprian amemuoa Rehema sospeter marwa murimi mtoto wa kikurya jumamosi hii ambapo walifunga ndoa katika kanisa la Parokia ya Mt Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam kuwa ndie muke wake wa ndoa
PONGEZI ZA DHATI PRESIDENT KUTOKA KWA SAFU YA QUEEN JOZZEE MAMA AFRICA MOTO na wadau wote wa music wa dance
No comments:
Post a Comment