
wanamuziki walioongezwa katika band hiyo ni mpiga gitaa mmoja na mwimbaji mmoja ambae alikuwa rikizo kwa sasa amerejea kundini baada ya kukaa kwa muda mferu mpiga gitaa huyo anajulikana kwa jina la God na mwimbwji anaejulikana kwa jija la Lucy wameamua kutumikia band hiyo baada ya kuona ni band ambayo inamalengo makubwa
Awali band hiyo ilikuwa katika maandalizi ya kutoa album yao mpya ambapo ilikuwa katika hatua za mwiisho kumalizima lakini kwa sasa kutokanan na kukosekana kwa fedha na wadhamini imekwama mpaka watakapo pata fedha na kuomba kama kuna mtu anahitaji kudhamini band hiyo ni vyema akajitokeza
kama wewe ni mpenzi wa burudani hizi usikose kushuhudia shoo yao leo whitecorner nkuhungu kutoka tnc conectio watoto wa makao habari ndio hiyo.
No comments:
Post a Comment