Mbuta Likasu ambae amewahi kutamba na nyimbo mbalimbali duniani zikiwa ni pamoja na position ,cris totale ,fete des chiens,attention obus Grace a Deau,Jose pila na nyingine nyingi kutokana na umahili wake katika muziki wa dance amesema kwa sasa yuko tayari kuachia album mpya
Mbuta Likasu ambae ni mtu mwenye vituko mbali mbali amesema ifikapo augost au september mwaka huu ataachia album yake ambayo inajulikana kwa jina la carnival ambapo kuna vol.1 na vol.2 ambazo ni mpya kabisa
Mbali na carnival Likasu amsema ana album nyingine za mwanzo ambazo ni attention obus ikiwa ni album yake ya kwanza souve qui peut ambayo ni album yake ya pili na sasa anaachia carnival ikiwa ni album yake ya tatu ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni
Muta Likasu ambae kwa sasa yuko mjini Kinshasa anaendelea na shoo zake mbali mbali mjini humo pamoja na Congo brazzaville
No comments:
Post a Comment