Baada ya kuitumikia band ya extra bongo kwa muda mrefu mwanamuziki Rama Pentagon na kuhamia band ya The African stars wana wa kutwanga na kupepeta Pentagon amesema kwa sasa amejipanga upya kwa ajili ya kuimarisha kipaji chake ambapo kila mutu anajua kuwa Rama anamchango gani katika game la muziki wa muziki nchini
pentagoni ni miongoni mwa wanamuzi ambao wameonekana kuwa nyota ya muziki huu wa dance kwa muda murefu hapa nchini tanznia
pentagoni alihamia twanga mara baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu katika band ya Extra Bongo chini ya uongozi wake Mzee wa farasi Le Kamarade Ally Choki.
Pentagoni amesema hayo aliokuwa akizungumza na safu ya Africa Moto baada ya kuingia katika band ya Twanga pepeta amesema kwa sasa yupo mbioni kutoa nyimbo zake mbili matata ambazo zitafanya vizuri katika muziki huu kwa sasa yupo katika mazoezi ambapo twanga pepeta wanrajia kuzindua album yao ya nyumbani ni nyumbani Pentagon amesema nyimbo ambazo atazitoa ni thamani ya mtu na jirasi
Pentagoni amewashukuru sana mashabiki wote ambao wamempokea vizuri baada ya kutua twanga pepeta
TCHEZE PAMOJA AFRICA MOTO NA QUEEN JOZZEE
No comments:
Post a Comment