Muumini mwinjuma ambae alikuwa raisi wa victiria sound amefunguka na kusema juu ya mambo yaliyo jili baina yake na waziri sonyo
mwishi wa wiki hii kuna ugomvi mkubwa ulizuka bain aya raisi wa victoria sound muumini mwinju ma na mkongwe mwenzake wa musiki ambae pia nae ni kiongozi wa band ya victoria sound waziri sonyo
prince muumini mwinjuma amesema chanzo cha ugomvi wake na waziri sonyo ni kutokana na sms walizkuw awakitumiana muumini alimkataza waziri sonyo kuja amelewa kisha kupanda jukwaani waziri sonyo hakuwa tayarikwa hilo badala yake alilazimisha kupanda
siku iliyofuata sonyo alikuja na panga akawa anamtafuta mwinjuma na kumkosa kuku akisema ni lazima amuonshe lakini siku iliyo fuata mwinjuma alimtumia sms na kumwambia kuwa anatakiwa kuwahi mazoezi ndipo alikasirika na kumtukana matusi makubwa yasiyoelezeka na alikuwa akimtukani kwa mama yake mara baada ya hapi sonyo alikuja katika mazoezi na kumwambia mwinjuuma kwanini umenitukana smuumini akamwambia wewe ndie umeanza ndipo sonyo alichomoa kisu na kutaka kumchoma baada ya hapo mwinjuma akawa amekipangua kisu na kumpa ngumi sonyo hapo ndipo wakaja kuamuliwa na wanamuziki wenzao baada ya hapo mwinjuma aliondoka na kumchukulia RB baada ya hapo akapelekwa mahabusu
Sunday, 25 August 2013
NDANDA COSSOVO AMESEMA LYVA KAONDOKA KATIKA BAND YA DIAMOND SOUND ORIGINA KUTOKANA NA UOGA WAKE
Mwi wa band ya diamond musica original Ndandason Onawembo Cossovo ambae alikuwa ni mwimbjai wa band ya Fm academia na stono musica na hatimaye kuanzisha band yake ya watoto wa tembo amesema yeye kuwa kiongozi wa band ya diamond musica sio kwamba ndie kawa raisi wa band hiyo
Ndanda Cossovo ambae amekuwa ni miogoni kwa waimbaji maarufu nchini Ttanzania kutokea nchini Congo kwasasa amekuwa kama mtu anaefundisha band ya diamond musica original,
Ndanda amesema huenda lyva anamuogopa kutokana na kazi ambazo anazifanya ,pia Cossovo amesema huenda Lyva amechanganyikiwa na Lyva amemuogopa kwani hamuwezi kwa kila kitu kuanzia uimbaji,umri,uzoefu wa muziki na yeye anamiliki band yake
Ndanda amesema yeye yupo katika band hiyo ni kwa muda mfupi na ni kwa ajili ya kufundisha na kuwapatia uzoefu wanamuzili wa band hiyo kutokana na uzoefu aliokuwa nao pamoja na kufundisha dawati la uongozi kwa ujumla kwani yeye bado anaendelea na band yake ya watoto watembo
Cossovo amesema kwa sasa anamkataba na kampuni ya primus ambapo kwa sasa anafanya nayo kazi kutokanana hayo hana haja ya kukaa katika band ya diamond ikiwa nae ana band yake mwenyewe,kwa sasa Cossovo ameshakamilisha nyimbo yake akiwa ameshirikiana na mwanamuziki wa musiki wa dance nchini congo drc jb mpiana
COSSOVO AMESEMA ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NA SAFU HII QJ AFRICA MOTO kuwa kwa sasa band ya diamond sound original imejipanga vyema kwa mazoezi

Cossovo amesem hayo mara baada ya ujio wake katika band ya diamond musica origina na kupelekea kusababisha kuacha kufanya kazi kwa raisi wa band hiyo Lyva sultani cossovo amesema ameondoaka kwa kugombana na boss wake kutokana na kuhujumu mali nyingi za band hivyo asisingizie kuwa cossovo ndie chanzo cha yeye kung'oka katika band ya diamond sound original
Ndanda amesema huenda lyva anamuogopa kutokana na kazi ambazo anazifanya ,pia Cossovo amesema huenda Lyva amechanganyikiwa na Lyva amemuogopa kwani hamuwezi kwa kila kitu kuanzia uimbaji,umri,uzoefu wa muziki na yeye anamiliki band yake
Ndanda amesema yeye yupo katika band hiyo ni kwa muda mfupi na ni kwa ajili ya kufundisha na kuwapatia uzoefu wanamuzili wa band hiyo kutokana na uzoefu aliokuwa nao pamoja na kufundisha dawati la uongozi kwa ujumla kwani yeye bado anaendelea na band yake ya watoto watembo
Cossovo amesema kwa sasa anamkataba na kampuni ya primus ambapo kwa sasa anafanya nayo kazi kutokanana hayo hana haja ya kukaa katika band ya diamond ikiwa nae ana band yake mwenyewe,kwa sasa Cossovo ameshakamilisha nyimbo yake akiwa ameshirikiana na mwanamuziki wa musiki wa dance nchini congo drc jb mpiana
COSSOVO AMESEMA ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NA SAFU HII QJ AFRICA MOTO kuwa kwa sasa band ya diamond sound original imejipanga vyema kwa mazoezi
MWIMBAJIWA MUZIKI WA DANCE NCHINI CHARLES BABA AMEAMUA KUACHANA NA UBACHERA
Charles baba ambae ni mwimbaji na ni raisi wa band ya mashujaa musica band ameamua kufunga ndoa jana jumamosi katika kanisa la Mt Petro jijini Dar es salaam
Charles Baba ameamua kuoa na kuachana na mambo ya ukapela kwa sasa amepata kifaa kipya zaidi ambacho ndicho chaguo lake katika maisha yake yote ameamua kufunga nae pingu za maisha ,Chrles Baba amesema huyu ndie chaguo langu ambae nimeamua kula nae kiapo kanisani kwani ni jambo la kumshukuru mungu

![]() |
CHARLES BABA NA REHEMA SOSPETER |
Charles Gabriel Cyprian amemuoa Rehema sospeter marwa murimi mtoto wa kikurya jumamosi hii ambapo walifunga ndoa katika kanisa la Parokia ya Mt Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam kuwa ndie muke wake wa ndoa
PONGEZI ZA DHATI PRESIDENT KUTOKA KWA SAFU YA QUEEN JOZZEE MAMA AFRICA MOTO na wadau wote wa music wa dance
Thursday, 8 August 2013
ROGGERT KATAPILA MWANZO WA MUZIKI MPAKA SASA
ROGERT HEGGA alizaliwa mwaka 1973 jijini Dar-es-salaam na kusoma shule ya msingi mpaka kumaliza na hatimaye alijunga na chuo cha ufundi Dar-salaam DAR TECH
Rasmi rogert alijiingiza katika maswala yamuziki mnamo mwaka 1987 kwa kuimba kwaya kanisani,
baada ya hapo mwaka huo huo wa 1987 alijunga na band iliyoitwa SAFARI BAND mwenyewe anaiita band ya mtaani wakati huo katika band alikuwa na mchekeshaji maarufu katika tasnia ya uigizaji Kingwendu ambapo alidumu na band hiyo ya safari mpaka mwaka 1989 ambapo alijunga na band nyingine iliyokua inajulikana kama City Sound ambapo alikutana na mkongwe wa muziki wa kiafrica toka Africa ya kusini TABOO
Baaday hapo mwaka 1992 alijiunga na band
iliyoanzishwa mwishoni mwa miaka ya tisini na kina kamarade Ally Choki band ya
BANTU GROUP lakini wakati Roggert anajiunga na band hiyo ya bantu group tayari
inaesemekana kuwa yeye pia ni muasisi wa band ya bantu group KOMANDOO HAMZA KALALA ndio
alikua amejiunga na band hiyo ambayo roggert alidumu nayo mpka mwaka 1995
Mnamo mwaka 1995 Rggert alifanikiwa kutoa album yake mwenyewe kama solo artist huku akiwa na kundi lake dogo la Africa generation wakati huo akiwa ametokea nchini Zimbabwe ambako alikwenda kufanya kazi ya muziki wa dansi
album hiyo ambayo aliipa jina la Mama Radhia ambapo ni moja ya kibao ambacho kilimtambulisha vilivyo rogert hegga nyimbo nyingine zilizopatikana katika album hiyo ni ASMA,SINTO KATA TAMAA,THEO MAZIMBABWE,
Mwaka 1997 roggert alijiunga na band ya MASAI BAND ambayo ilikua na maskani yake pale kijitonyama jijini Dar es salaam kipindi hicho akiwa na waimbaji mbali mbali kama YAHAYA MKANGO,JOHN MPONI, ambapo hapo alidumu kwa muda wa mwaka mmoja tu na hatimaye
Mwaka 1998 alijiunga na band ya Twiga Band iliyokua na maskani yake mwananyamala ambapo hapo alikutana na mtu mmoja maarufu sana CHE MUDUNGWAO, pamoja na JOHN MPONI ambapo hakudumu sana.
Mwaka 1999 alijiunga na band ya AFRICAN STARS kabla haijapewa jina la TWANGA PEPETA
ambapo hapo Alikutana NA wanamuziki mbali mbali akiwemo LE GENERAL BANZA STONE,LUIZA MBUTU ,AMIGOLASI,YAHYA MKANGO,JOSEPH KANUTI,DEO MWANAMBILIMBI,MICHAEL LILOKO,BOB GAD WILLIUM,JESCA CHALS,MAREHEM ABUU SEMHANDO kipindi hicho ilikua ni HOTEL BAND ambayo ilikua ikipiga BAHARI BEACH lakini walifanikiwa kutoa album moja ya KISA CHA MPEMBA ambapo ndani yake kulikuan nyimbo moja ambayo ni utunzi wake roggert FADHILA KWA WAZAZI NO. 01 hata hivyo hakumaliza mwaka na african star mwisho mwa
Mwaka 1999 alitimkia nchini NAIROBI-KENYA katika band moja iliyojulikana kama BENGA INTERNATIONAL ambapo hapo alikutana na wanamuziki nguli kwa sasa kama MUUMINI MWINJUMA,RASHID SUMUNI,hakudumu sana katika band hiyo na baadae kutimkia katika mji wa KISUMU ambapo hapoa pia likutana na mtu kama kamarade ALLY CHOKI ambae alikua kiongozi kwenye Band iliyoitwa EXTRA KIMWA ambapo hapo vile vile kulikupwepo na mpiga gita maarufu tanzania kwa sasa EPHRAIM JOSHUA NA MTOTO WA KING MAJUTO ATHUMAN MAJUTO, ambapo hapo alikaa kwa muda kidogo na baandae kurejea tena tanzania,
mwanzoni mwa mwaka 2000 alitua tena AFRICA STAR ambapo aliikuta album ya pili ya twanga pepeta JIRANI ikiwa jikoni na yeye kuweza kupata kushiriki katika kuimba katika nyimbo zilizokuwemo katika album hiyo ambayo ilatakiwa kuitwa AUNGURUMAPO SIMBA lakini kabla haijamalizika kiongozi wa wakati huo banza stone aliondoka na ndipo ali choki alipewa jukumu la kuandika nyimbo itakayobeba jina la album
Safari ya roggert haikuishia hapo mwaka huo huo wa 20000 mwishoni alijitoa yeye na wenzake na kwenda kuanzisha band ya MCHINGA SOUND ambapo alikutana na wenzake kina ADOLPH MBINGA,MWIJUMA MUUMIN,JOSEPH WATUGURU,MOSHI MSELELA,GODFREY KANUTI,MICHAEL LILOKO,SELEMAN BONGO hapo hakudumu sana katikati ya mwaka 2001 akajiunga tena african stars ambapo alidumu sasa kwa muda na kuweza kutoa nao album za
2001-fainali uzeeni 2002-chuki binafsi-ambapo alitunga nyimbo ya La mgambo 2003-ukubwa jiwe-2004 mtu pesa ambapo ndani ya album hiyo alitunga nyimbo ya family confilc

mwaka 2010 alirudi tena Twanga pepeta na sasa ivi inaitwa Twanga oepeta internasional ambapo hapo ailifanikiwa kutoa albm moja ambayo inaitwa
mwana dar es salaam ambapo ndani kuna nyimbo ya rafiki adui ambayo ni utunzi
wake mwenyewe roggert
Mnamo mwaka 2011 alihamia band yenye wanamuziki nguli wa siku nyingi na inayofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa dansi ambayo ipo chini ya mkurugenzi mtendaji ally choki EXTRA BONGO NEXT LEVEL a.k.a WAZEE WA KIZIGO ambapo hapo ametunga nyibma ya UFISADI WA MAPENZI ambao utakuwepo kwenye album ambayo bado haijapewa jina na yeye yupo kama kiongozi wa band na hapo anaunga na wanamuziki LE GENERAL BANZA STONE,RAMA PENTAGONE,ATANASI,ALLY CHOKI MWENYEWE,SUPER NYAMWELA, AISHA MADINDA

Lakini kwa sasa roggert ameamua kuachana na musiki amesema anapumzika mara baada ya kufanya kwa muda mrefu na matarajio yake hasa kwa sasa ni fungus band yake mwenye hivyo hayupo band yeyote
Tuesday, 6 August 2013
MJUE MWIMBAJI WA BILNGE MUSICA NA KAZI YA MUSIKI
Huyu ni mwanamuziki kutoka band ya Bilenge musica du congo makazi yake ikiwa ni Nairob Kenya
anaitwa Bizo Chante amezaliwa Bukavu mashariki mwa jamhuri ya kidemocrasia ya watu wa congo mnamo 5 /11/1978.
Chante ni mtoto wa tano kutoka katika familia ya watoto saba, mnamo tarehe 13 alijiunga kozi ya musiki kitumaini ya bukavu akiwa kama muimbaji wa kundi moja la kwaya katika chuo hicho
baada ya hapo alitimukia Quartie baghdad kimuzikina akajiung ana band ya traction musica huku akiendelea kujifunza maswala ya music ambapo alikuwa ni musiki wa dini.
Mnamo mwaka 1999 Chante alitimkia nchini tanzania na kujiunga na Magnum Musica ,mwaka 2000 klirejea Nchini Nairobi Kenya katika banda ya Senza musica mpaka mwaka 2009-2011
baada ya hapo alielekea katoka band ya Limpopo kwa Mousa Djuma mwaka uleule wa 2011 ndipo alijiunga na band ya Bilenge musica,mwaka mmoja baadae bizo aliondoka kuelekea nchini Dubai alikaa kwa muda mfupi ndipo akareje tena nchini Kenya na kuendelea na band yake ya bilenge musica mpaka sasa bado anaitumikia band hiyo
Chante ni mpigaji wa drums za instrumental ni mwimbaji anapenda sana kuwa role model wa music pia chante anamatarajio mengi katika band .

BAND YA MUSIC WA DANCE NCHINI KENYA MAARUFU KAMA BILENGE MUSICA KWA SASA WAMEKUJA KIVINGINE MARA BAADA YA KUZINDUA ALBUM MPYA
Bilenge musica ambao ni waimbaji wa musiki wa dance kutoka nchini Congo makazi yao yakiwa nchiniNairobi Kenya wamefanya uzinduzi wa album yao mpya ambayo inajulikana kwa la thermometre ambapo album hiyo imefanyiwa uzinduzi siku ya 13 july 2013
Bilenge musica ambao walifanya uzinduzi wa album hiyo katika ukumbi wa Village Dream South B siku ya jumamosi ambapo album hiyo ilimeonekana kuwa na nyimbo nzuri zaidi wameshukuru sana kwa mashabiki wao kuwapa saport kubwa
Bilenge musica band ambayo inawaimbaji mahili na wamewahi kuimba nyimbo kama vile malo malo,im transiferred.kiduani,miss kenya,musamaria na nyingine kibao wamesema album hii pia ni nzuri watu watengemee nyimbo nzuri kama za awali
bilenge musica ambao inawaimbaji kama Barzee Kalend ,Bizo Chante.Zaget de Longueur ,Benisoit Jack Assanik na wengine wengi kutoka nchini Congo wameshaiiiiachia album hiyo

Monday, 5 August 2013
LUCIEN BOKOLO MBIONI KUKAMILISHA ALBUM YAKE MPYA HIVI KARIBUNI
Bokilo ambae amewahi kuimba na kundi la soukous stars na alikuwa akiimba nyimbo za mtindo wa soukous ambao asili yake ikiwa ni congo kinshasa na congo brazzaville ambapo mziki huu ulianza pale 1930 amesema japo bado yupo na kundi hilo lakini anafanya kazi za kujitegemea kama solo artist
Bokilo ambae ameimba na wanamuziki mbalimbali kama lokasa ya mbongo na wengine wengi na kutamba na nyimbo zake mahili duniani kama vile one way,missete,aicro de toi,aziza,djoukende,mwasi,ngoma,retuorne toi,robin na nyingine nyingi,Bokilo amesema kutokana na shoo ambayo wanayo ya kwenda canada akiwa na kundi zima la soukous stars akirejea ataendelea na kazi zake za kumalizia album yake studio
Sunday, 28 July 2013
MWANAMUZIKI WA DANCE PAPY MARAY AMBAE AMEWAHI KUTUMIKIA BAND MBALIMBALI AMEAMUA KUJA KIVINGINE
Papy Maray ambae amewahi kutamba na band mbalimbali hapa nchini Tanzania kama vile Diamond musicaStono mayeyasika,na Akudo Impact ameamua kutoka kivyake na tungo mbali mbali akiwa kama solo artist
papy maray ambae aliondoka na kutimukia ughaibuni ambapo alikuwa dubai kisha kurejea nchini kwao DRC na kukaa huko kwa muda mara baada ya kutoka Akudo impact, kwa sasa yupo nchini akiwa bado hajajua ni band gani ataitumiakia hivyo ameamu kutunga nyimbo zake akiwa kama solo artist ambazo zitakuwa zikikamilisha album yake ambayo anatarajia kuitoa, hivyo mpaka sasa bado anakamilisha baadhi ya nyimbo ili kumalizia album yake
mpaka sasa Maray ameshakamilisha nyimbo nne ambazo ni Passport-pirate akiwa anamaanisha pasport feki,Deseption akiwa anamaanisha huzuni ,Mwasi mabe akimaanisha mwanamuke mwenyetabia mbaya pamoja na Maskini hizo ndio nyimbo ambazo ameziimba akiwa kama solo artist
Maray amesema mpaka sasa anampango wa kurudi kati ya band mbili ambazo ni akudo,au diamond lakini mpaka sasa bado hajajua ataelekea wapi na kuseama mtu atakae hitaji shoo zake yupo huru kwani bado hajamilikiwa na band yeyote

Thursday, 18 July 2013
NGULI WA MUZIKI WA DANCE DUNIANI MBUTA LIKASU MBIONI KUACHIA ALBUM MPAYA
Mbuta Likasu ambae amewahi kutamba na nyimbo mbalimbali duniani zikiwa ni pamoja na position ,cris totale ,fete des chiens,attention obus Grace a Deau,Jose pila na nyingine nyingi kutokana na umahili wake katika muziki wa dance amesema kwa sasa yuko tayari kuachia album mpya
Mbuta Likasu ambae ni mtu mwenye vituko mbali mbali amesema ifikapo augost au september mwaka huu ataachia album yake ambayo inajulikana kwa jina la carnival ambapo kuna vol.1 na vol.2 ambazo ni mpya kabisa
Mbali na carnival Likasu amsema ana album nyingine za mwanzo ambazo ni attention obus ikiwa ni album yake ya kwanza souve qui peut ambayo ni album yake ya pili na sasa anaachia carnival ikiwa ni album yake ya tatu ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni
Muta Likasu ambae kwa sasa yuko mjini Kinshasa anaendelea na shoo zake mbali mbali mjini humo pamoja na Congo brazzaville

Wednesday, 17 July 2013
MWANAMUZI WA MUSIC WA DANCE WILLY FOLOLO AWAZIA KUWA NA BAND YAKE
Mwanamuziki nyimbo za dance nchini Tanzania Willy Fololo amesema kwa sasa anamatarajio makubwa ya kuanzisha band yake mwenyewe.
Fololo amesema kutokana na kufanya kazi ya musiki kwa muda mrefu na band mbalimbali nchini hapa na kutokana na uzoefu aliokuwa nao anauwezo wa kumili band yake.
Fololo amesema hayo alipokuwa akizungumza na safu ya Queen Jozzee na africa moto, amesema kwa sasa ana album yake inayojulikana kama Fololowise ambayo mpaka sasa inanyimbo kumi na mbili akiwa ameimba kwa mtimdo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mtindo wa Zoukou ,Rhumba ,Sebene na Dancehall, amesema ni moto wa kuotea mbali
mbali na hayo Fololo ameakmilisha video yake kali ya afrobeats ambayo ni tishio kubwa amesema ngoma hiyo inaitwa leo akiwa amemshirisha ghetto grade warrios kutoka mashariki
hata hivyo Fololo amesema kutokana na album yake kuwa mpya kwa sasa anajiandaa kuisambaza katika media mbalimbali na kuifanyia promo ya kutosha kabla haijafika sokoni

Wednesday, 26 June 2013
MWANAMUZIKI DEMINGONGO LUCIEN KUKAMILISHA ALBUM YAKE YA NNE
Kukokana na kuzamia nchini paris kwa muda wa miaka 26 Luciana Demingongo sasa ameamua kutoa album yake ya nne ambapo ni album ambayo ipo nje ya band yake ambayo anaitumikia kwa sasa ya zimpompa pompa band
Demingongo ambae amewahi kuimba band mbalimbali nchini Congo ambapo aneimba na moja ya wanamuziki kama vile Awilo Longomba ambapo kipindi hicho alikuwa ni mpiga gitaa yeye akiwa muimbaji walifanya kazi nyingi sana mpaka awilo kuhamia uimbaji
Demigongo amesema hivi karibuni anatarajia kuja DRC kusalimia na ameweza kutaja album ambazo anazo mpaka sasa ambapo album yake ya kwanza aliitoa mwaka 2012 iliyofahamika kama DEMINGONGO ZANZIBAR ambayo inanyimbo 9 moja wapo ni,Tempo,resistance,Rokia,Chanteau Rouge,Ange Volcan,Adisha,Zanzibar na Et poutant
A lbum yake ya pili inafahamika kama LUCIANA DEMINGONGO ANGE VOLICAN na album yake ya tatu inafahamika kama LUCIANA DEMINGONGO ROKIA.
Demingongo amesema album yake ya nne ni album ambayo itakuwa ya kuotea mbali zaidi kwani amejipanga zaidi na ameifanya kwa umakini wa hali ya juu za na hivyo amewaomba mashabiki wote wote wa muziki wa dance Congo na Tanzania kusikiliza nyimbo mbalimbali ili kupata jumbe ambazo zinapatikana katika nyimbo hizo
AFRIQUE MOTO PAMOJA

Tuesday, 25 June 2013
Sunday, 23 June 2013
BAADA YA KUSAMBARATIKA KWA WANAMUZIKI WA BAND YA TEN BROTHERS SASA KUJA KIVINGINE
Band ya Ten Brothers band kutoka Mkoani Dododma kwa sasa wamejipanga upya mara baada ya kutoka katika wwakati mgumu wa kusambaratika kwa wanamuzi mbalimbali ambao walikuwa katika band hiyo
Kiongozi wa band ya Ten brothers Bwana Juma Kibonge amesema kuondoka kwa aliekuwa manager wa band hiyo pamoja na baadhi ya wanamuziki hakuja athiri kitu chochote katika band yake na anaamini kuwa mpaka sasa watafanya vizuri katika muziki huu wa dance mkoani hum
Bwana Kibonge amesema mpaka sasa kuna nyimbo nyingi mpya ambazo ziko tayari na ni nzuri zaidi achilia mbali na nyimbo ya nyumbani ni yumbani na nyingine nyingi za zamani
Kibonge amesema kwasasa wanamuziki wapya ambao wanfanya kazi yake vizuri na kwa sasa wanamadancer wa kike watatu ambao wamesajiliwa jana katika band hiyo
BURUDIKA NA AFRICA MOTO.

MKALI WA DRUMS NCHINI MARTIN KIBOSHO KUNGA'RA ZAIDI NCHINI INDONESIA

Martini kKibosho ambae alienda kikazi ambapo mara nyingi hufanya kazi na band ya morther Africa ambayo humchukua kila mwaka kutokana na kukubali kazi yake
Kibosho amesema onyesho hilo hua ni la kimataifa ambapo hufanyika nyichi mbali mbali ambapo kwa sasa yupo na wanamuziki wa nchi mbalimbali kwa ajili ya onyesho hilo amesema anamshukuru mungu mpaka hapo alipo kwa sasa na kuwashukuru uongozi wa band yake ya extra bongo
Kibosho amesema toka ameondoka nchini anamiezi mitatu mpaka sasa na anatarajia kurudi nchini Tanzania mwezi wa nane ili kuendelea kuitumikia band yake ya Extra bongo
namshukuru sana raisi wa band ynagu ya Extra Bongo Ally Choki kwa kuwa pamoja nami bega kwa bega kwa kunisapport mpaka leo hii amezungumza Martin Kibosho akipokuwa akizungumza leo mapema na Queen Jozzee wasafu ya AFRIQUE MOTO.Ukiona hii like blog hii ili tucheze wote.
TUCHEZE AFRICA MOTO PAMOJAA.
Saturday, 22 June 2013
MWANAMUZIKI MUKONGWE WA DANCE DEKULA KAHANGA YUPO MBIONI KUTOA ALBUM YAKE MPYA
Dekula Kahanga ambae ni mkongwe wa muziki huu wa dance ambae kwa sasa makazi yake ni makubwa ni Nchini Swedeni kwasasa amesema mpaka leo hii ananyimbo sita ambazo zipo tayari na bado anaendelea kurekodi nyimbo nyingine ambazo zitakamilisha album yake ambayo inatarajia kuwa na nyimbo kumi .
Dekula ambae ni mmiliki wa band ya DEKULA BAND ambapo makazi yake ni stockhom, mwimbaji,mtunzi,na mpiga gitaa amesema mpaka sasa nyimbo ambzo zipo tayari ni pamoja na mshog remix,ammy,amani,dunia kuna mambo,bombalaka na ngoma ya kilo na dkeula amesema mpaka sasa bado hajaanza kuruhu nyimbo zake kupigwa kwenye media yeyote mpaka atakapo kamilisha album yake
CHEZA NA AFRICA MOTO

CHEZA NA AFRICA MOTO
BAADA YA KUTOKA EXTRA BONGO RAMA NA KUHAMIA TWANGA PEPETA PENTAGO AMJIPANGA UPYA
Baada ya kuitumikia band ya extra bongo kwa muda mrefu mwanamuziki Rama Pentagon na kuhamia band ya The African stars wana wa kutwanga na kupepeta Pentagon amesema kwa sasa amejipanga upya kwa ajili ya kuimarisha kipaji chake ambapo kila mutu anajua kuwa Rama anamchango gani katika game la muziki wa muziki nchini
pentagoni ni miongoni mwa wanamuzi ambao wameonekana kuwa nyota ya muziki huu wa dance kwa muda murefu hapa nchini tanznia
pentagoni alihamia twanga mara baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu katika band ya Extra Bongo chini ya uongozi wake Mzee wa farasi Le Kamarade Ally Choki.
Pentagoni amesema hayo aliokuwa akizungumza na safu ya Africa Moto baada ya kuingia katika band ya Twanga pepeta amesema kwa sasa yupo mbioni kutoa nyimbo zake mbili matata ambazo zitafanya vizuri katika muziki huu kwa sasa yupo katika mazoezi ambapo twanga pepeta wanrajia kuzindua album yao ya nyumbani ni nyumbani Pentagon amesema nyimbo ambazo atazitoa ni thamani ya mtu na jirasi
Pentagoni amewashukuru sana mashabiki wote ambao wamempokea vizuri baada ya kutua twanga pepeta
TCHEZE PAMOJA AFRICA MOTO NA QUEEN JOZZEE
pentagoni ni miongoni mwa wanamuzi ambao wameonekana kuwa nyota ya muziki huu wa dance kwa muda murefu hapa nchini tanznia
pentagoni alihamia twanga mara baada ya kufanya kazi kwa muda mrefu katika band ya Extra Bongo chini ya uongozi wake Mzee wa farasi Le Kamarade Ally Choki.

Pentagoni amewashukuru sana mashabiki wote ambao wamempokea vizuri baada ya kutua twanga pepeta
TCHEZE PAMOJA AFRICA MOTO NA QUEEN JOZZEE
BAND YA AKUDO IMPACT KUPIGA SHOO YA NGUVU JIJINI MWANZA
Baada ya kupiga shoo matata mkoani dodoma vijana wa masauti akudo impact walielekea mwanaza jana walipiga shoo nyingine geita leo 22 06 2013 wanapiga Mwanza jokes live pub Pasians ambapo watasindikizwa na wanamuziki wa kizazi kipya ambao watamili jukwaa vizuri kabisa atakuwepo Hussein Machozi na Baba Levo kwa kiingilio cha shiling elfukumi tu
Baada ya shoo hiyo watapiga Kahama 23 06 2013 masabo picnic Center kwa kiingilio cha tsh 10000 wakiwa na baba Levo na Hussein Machozi,tarehe 24 06 2013 watakuwa Shinyanga kakola sambamba na wanamuziki wao tarehe 26 06 2013 watakuwa Tabora FrankMan Palace kwa kiingilio cha sh 15,000 huku wakisindikizwa na mwanamama mwimbaji wa taarabu ambae pia ni dada yake mzee Yusuph Khadija Yusuph,Baba Levo na Hussein Machozi tarehe 27 06 2013 watakuwa Kaliua Millenium Hall kwa kiingilio cha sh 5,000 tarehe 29 06 2013 watapiga Kigoma Kibo Peak Hall kwa ts 10000 bila kumsahau khadija yusuph shuhuadia shoo matatakutoka kwa vijana wa masauti

Subscribe to:
Posts (Atom)